sw_tn/exo/28/06.md

396 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

kitani nzuri yenye kusokotwa

Hii ilikuwa nguo iliyo tengenezwa kwa nyuzi mtu aliyo sokotwa pamoja kufanya uzi mgumu.

kazi ya mstadi

mtu anaye weza kufanya vitu vizuri kwa mkono

ya vitu vile vile

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

shohamu

Haya ni mawe yenye miisho meupe na meusi, nyekundu au kahawia.