sw_tn/exo/28/01.md

233 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

Umuite

Neno "Umuite" lina husu Musa.

Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamar

Haya ni majina ya wanaume.

Nawe utamfanyia

Hapa "Nawe" ya husu watu.