sw_tn/exo/27/11.md

297 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

hiyo chandarua utakuwa

Hii yaweza andikwa kama amri.

nguzo zake kumi

Hii yaweza andikwa kama amri.

Na upana wa ule ua upande wa mashariki kuelekea mashariki utakuwa ni dhiraa hamsini

Hii yaweza andikwa kama amri.