sw_tn/exo/25/12.md

275 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

viduara vinne vya dhahabu

Hii ilikuwa namna dhahabu ya yayushwa, ilikuwa ya miminwa katika chombo cha mviringo, kisha kuwachwa kuwa ngumu.

ili kulichukua hilo sanduku

"ili uweze kubeba sanduku"