sw_tn/exo/21/33.md

219 B

akifungua shimo

"funua shimo kwenye ardhi"

alipe madhara

Mmiliki lazima alipe kwa madhara ya mnyama.

atakuwa wake

Aliye lipa madhara ya mnyama atakuwa mmliki wa mnyama aliye kufa na anaweza fanya ancho taka.