sw_tn/exo/21/05.md

234 B

atasema waziwazi

"kusema wazi"

sitaenda nje huru

"sitaki bwana wangu aniachie huru"

atatoboe sikio lake

"kuweka tobo sikioni"

sindano

kipini kinacho tumika kueka shimo

maisha yake yote

"mpaka mwisho wa maisha yake'