sw_tn/exo/20/24.md

340 B

madhabahu ya udongo

madhabahu iliyo tengenezwa kwa vitu vya ardhini, kama mawe, mchanga, au udogo

ntakapotaka jina langu liheshimiwe

Hapa "jina" linasimama kwa niaba ya utu wa Mungu.

msije juu ya madhabahu yangu kwa hatua zenu

"Msitengeneze madhabahu yenye ngazi"

msioneshe sehemu zenu za siri

"kuonyesha mwili wenu wa uchi"