sw_tn/exo/19/01.md

12 lines
380 B
Markdown

# Katika mwezi wa tatu ... siku hiyo
Hii ina maana walifika nyikani siku ya kwanza ya mwezi kama walivyo ondoka Misri siku ya kwanza ya mwezi. Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu kwenye kalenda ya Kiebrania ni karibu na katikati ya Mei katika kalenda za Magharibi.
# kutoka
"waliondoka"
# Refidimu
Hii ni sehemu kando ya nyikani ya Sinai ambapo watu wa Israeli walikuwa kambini.