sw_tn/exo/18/24.md

334 B

vichwa juu ya watu

Musa ana andika viongozi wa watu kana kwamba ni kichwa cha mwili.

wanaume wenye uwezo

Kilicho kuwa wanaweza kufanywa cha weza andikwa wazi.

hali

"mazingira"

Kesi ngumu walimletea Musa

Mwandishi ana andika kumwambia Musa kuhusu kesi ngumu kama kumletea kesi ngumu.

kesi ndogo

"kesi zilizo rahisi"