sw_tn/exo/18/07.md

307 B

akamwinamia, na kumbusu

Haya matendo ya ishara yalikuwa namna ya kawaida watu walionyesha heshima kubwa na upendo katika huo utamaduni

kwa ajili ya Waisraeli

Neno "Israeli" la wakilisha watu wa Israeli.

magumu yote yaliyo watokea

Musa ana andika magumu kuwa tokea kana kwamba magumu yamewatokea.