sw_tn/exo/18/01.md

559 B

baba mkwe wake Musa

Hii ya husu baba wa mke wa Musa.

akamchukuwa Zipora, mke wa Musa ... na wana wake wawili

Maana zinazo wezekana ni 1) Yethro alimchukuwa Zipora na wana wake wawili kwa Musa, au 2) Yethro alimkaribisha awali Zipora na wana wake wawili.

baada ya kumpeleka nyumbani

Hichi ni kitu Musa alicho fanya hapo awali. Maana yote yaweza fanywa wazi.

Gershomu

Huyu ni mwana wa Musa na Zipora, ambaye jina lake lina maana ya "mgeni"

Eliezeri

Huyu ni mwana wa Musa na Zipora ambaye jina lake lina maana ya "Mungu ndiye anaye ni saidia"