sw_tn/exo/17/08.md

188 B

Refidimu

Hii ilikuwa sehemu jangwani.

Hivyo Yoshua akapigana na Ameleki

Yoshua ana wakilisha Waisraeli aliyo waongoza kwenye pambano.

Huri

Huri alikuwa rafiki wa Musa na Aruni.