sw_tn/exo/16/09.md

375 B

Ikawa

Hili neno linatumika kuweka alama ya tukio muhimu katika historia. Tukio muhimu hapa ni watu kuona utukufu wa Yahweh.

tazama

Neno "tazama" hapa la onyesha kwamba watu waliona kitu cha kuvutia.

mkate

Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi.