sw_tn/exo/14/10.md

620 B

Farao alipo kuja karibu

Neno "Farao" hapa ya wakilisha jeshi lote la Misri.

waliogopa

"Waisraeli waliogopa"

Ni kwasababu hakukuwa na makaburi Misri, hadi umetuleta tufe huku nyikani?

Waisraeli wanauliza hili swali kuonyesha uchovu wao hofu ya kufa.

Kwanini umetutendea hivi, kwa kututoa Misri?

Waisreali wanauliza hili swali kumkemea Musa kwa kuwaleta kwenye jangwa kufa.

Hili si ndilo tulilo kwambia Misri?

Waisreali wanauliza hili swali kusisitiza kwamba hili ndilo walillo mwambia Musa.

Tulikwambia, 'Utuache, ili tuwafanyie Wamisri kazi.'

Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.