sw_tn/exo/12/05.md

347 B

jioni

Hii ya husu muda wa jioni baada ya jua kuzama lakini bado pakiwa na mwanga.

kwenye sehemu mbili za mihimili ya milango na juu ya fremu za milango

"pembeni na juu ya njia ya kuingia"

Kula na mkate ulio andaliwa kwa hamira

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mimea michungu

Haya ni majani madogo yenye ladha kali na mbaya.