sw_tn/exo/10/21.md

176 B

giza linalo weza kuhisiwa

Yahweh anazungumzia giza lililo pitiliza kana kwamba ni nene sana hadi watu wanaweza shika mikononi mwao. Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.