# aliufanya moyo wake kuwa mgumu
"Farao akaufanya moyo wake mgumu." Hapa "mgumu" ya maanisha akawa na kiburi.
# kama Yahweh alivyo sema
"kama Yahweh alivyo sema Musa ata fanya"