sw_tn/exo/06/28.md

116 B

Mimi sio mzuri ... kwanini Farao anisikilize mimi?

Musa anauliza hili swali akitumaini kubadilisha nia ya Mungu.