sw_tn/exo/04/06.md

186 B

tazama

Hili neno linatumika kuweka mshangao

nyeupe kama theluji

Neno "kama" hapa linatumika kulinganisha mkono wa Musa ulivyo onekana. Ukoma una sababisha ngozi kuonekana nyeupe.