sw_tn/exo/03/13.md

341 B

Mungu akamwambia Musa, "MIMI NIKO AMBAYE NIKO."

Hili ndilo jibu la Mungu kwa swali la Musa kuhusu jina la Mungu.

MIMI NIKO AMBAYE NIKO

Maana inayo wezekana hapa ni 1) hii sentesi yote ni jina la Mungu au 2) Mungu hasemi jina lake lakini kitu kuhusu yeye. Kwa kusema hili, Mungu anafundisha kuwa yeye ni wa milele; aliishi na ataishi.