sw_tn/exo/03/07.md

604 B

wasimamizi

"waendesha watumwa." Hawa walikuwa wa Misri ambao kazi yao ilikuwa kuwalazimisha Waisraeli kufanya kazi.

nchi inayo tiririka kwa maziwa na asali

"nchi ambayo maziwa na asali yatiririka." Mungu akazungumza kwa habari ya nchi kuwa nzuri kwa ajili ya wanyama na mimea kama maziwa na asali kutoka kwa hao wanyama na mimea ilikuwa ya tiririka kwenye nchi.

tiririka kwa

"imejawa na" au "na utele wa"

maziwa

Kwa maana maziwa yanatoka kwa ng'ombe na mbuzi, hii yawakilisha chakula kinacho tokana na mifugo.

asali

Kwa maana asali yatokana na mau, hii ya wakilisha chakula cha mazao.