# Musa akakubali kukaa na huyo mwanaume
"Musa akakubali kuishi na Reueli"
# Zipora
Huyu ni binti wa Reueli.
# Gerishomu
Huyu ni mwana wa Musa
# wakazi katika nchi ya kigeni
"wageni katika nchi ya kigeni"