sw_tn/exo/02/18.md

4 lines
138 B
Markdown

# Kwanini ulimuacha mwanaume?
Hili swali ni kemeo kwa mabinti kwa kutomkaribisha Musa nyumbani kwao kwa kadiri ya mapokezi ya utamaduni.