sw_tn/exo/02/03.md

702 B

kisafina cha manyasi

Hichi ni chombo kilicho tengenezwa kutokana nyasi inayo ota kando ya Mto wa Misri.

akakipaka sifa na lami

Unaeza elezea kuwa hii ilikuwa kwa ajili ya kuzuuia maji.

sifa

Hii ni gundi iliyo tengenezwa kwa petroli. Yaweza kutumika kuzuia maji.

lami

Hii ni gundi ya rangi kawia au nyeusi inayo weza kutengenezwa kwa utomvu wa mti au petroli. Hivyo basi "lami" itajumuisha sio tu "sifa" bali pia mimea yenye utomvu. Yaweza tumika kuzuia maji.

majani

Haya "majani" yalikuwa haina ya nyasi ndefu yaliyo ota sehemu nyevu na tambarare.

akasimama mbali

Hii ina maana ya kuwa alisimama umbali ambao hakuweza kuonekana, lakini kwa ukaribu ambao aliweza kuona sanduku.