sw_tn/exo/01/01.md

194 B

jamii

Hii inahusu watu wote wanao ishi katika nyumba pamoja, hususani familia kubwa yenye watumishi.

sabini

"70"

yusufu alikuwa Misri tayari

"Yusufu aliishi Misri kabla ya kaka zake"