sw_tn/est/06/07.md

20 lines
323 B
Markdown

# mavazi ya kifalme yaletwe
"watumishi walete mavazi ya kifalme"
# ametumiwa/ameendeshwa
"Hii ni sentensi ya wakati uliopita wa endesha"
# taji ya kifalme
umbo maalum iliyowakilisha familia ya mfalme
# Hivyo mavazi na farasi apewe
"Hivyo mpe mavazi na farasi"
# Watangaze
"Watumishi na wasimamizi wakuu watangaze"