sw_tn/est/02/15.md

16 lines
358 B
Markdown

# Abihali
"Abihaili"alikuwa baba yake na Esta na mjomba wa Modekai.
# Hegai
Tumia neno lile lile liliotumika katika 2:3
# mwezi wa kumi, ambao ni mwezi wa Teneti
"Tibeti" ni jina la mwezi wa kumi kwa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa sehemu ya mwisho wa Desemba na sehemu ya kwanza ya January kwa kalenda ya Magharibi.
# mwaka wa saba
"mwaka namba7"