sw_tn/est/02/05.md

707 B

Sushani

Tumia jina lile lile lililotumika katika 1:1.

mwana wa Jaira mwana wa Shimei mwana wa Kishi

'"Jaira," "Shimei" na"Kishi" ni wanaume ambao "Modekai" ni mwana wa kiume anatoka.

Mbenjamini

"wa kabila la Benjamini"

Alikuwa amechukuliwa kutoka Yerusalemu

Andiko la Kiebrania haliweki wazi anayezungumziwa hapa. Pengini ni Kishi, ambaye inaonekana alikuwa baba yake na babu wa Modekai. Kama ilikuwa Modekai mwenyewe, hivyo angekuwa mzee sana kwa wakati wa matukio yanayomhusu Esta. Matoleo mengi ya kisasa haziliweki wazi hili. Ni matoleo machache likiwemo la UDB, linahisi kuwa Modekai ndiye aliyekuwa amechukuliwa kutoka Yerusalem.

Yekonia, mfalme wa Yuda

(Tazama: tafsiri majina)