# Kwa nini mfalme alikasirika sana?
Mfalme alikasirika sana kwa sababu Malkia Vashiti alikataa kuja kama mfalme alivyokuwa ameagiza.