sw_tn/eph/06/12.md

8 lines
295 B
Markdown

# damu na nyama
Hii fafanuzi inahusiana na watu, siyo roho ambazo hazina mwili wa Binadamu.
# kwa hiyo, vaeni silaha zote za Mungu
wakristo wanapaswa kutumia raslimali za kukinga ambazo Mungu amewapa katika kupigana na shetani kwa njia ile askari hubeba silaha ili kujilinda dhidi ya maadui.