sw_tn/eph/05/31.md

12 lines
230 B
Markdown

# kwa kisababishi hiki
"kwa sababu hii"
# lazima kumpenda mke wake kama yeye mwenyewe
Maneno haya "yeye" na "mwenyewe" yanarejea kwa mwanaume muumini ambaye kaoa.
# mke lazima amheshimu mume wake
"mke lazima amtii mume wake"