forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
721 B
Markdown
13 lines
721 B
Markdown
# Hivyo basi uwe makini jinsi mnavyoishi, siyo kama watu wasio na hekima bali kama wenye hekima
|
|
|
|
Wasio na hekima hawajilindi wenyewe kinyume na dhambi. Kwa hali yoyote watu wenye hekima wanaweza kutofautisha dhambi na kuikimbia. NI: "Hivyo basi ni lazima muwe makini muishi sawa na watu wenye hekima zaidi kuliko mtu mpumbavu" au "Hivyo basi lazima mwe makini kuishi sawasawa na mtu mwenye hekima."
|
|
|
|
# Komboa wakati
|
|
|
|
Tunalo chaguo la kuishi katika dhambi ambalo ni sawa kama kutumia wakati wetu bila hekima. Au tunaweza kuishi tukifanya ambacho Bwana anataka sisi tufanye na kuutumia muda wetu kwa hekima.
|
|
KWAMBA: "Tumia muda wako kwa hekima."
|
|
|
|
# kwasababu siku ni mbaya
|
|
|
|
Neno "siku" linamaanisha ni katika muda unaoishi
|