forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
994 B
Markdown
24 lines
994 B
Markdown
# Kuwa kama watoto
|
|
|
|
Hii ni kulinganisha waamini ambao hawajakuwa kiroho na mtoto ambaye amekuwa na udhoefu mdogo sana katika maisha."
|
|
|
|
# Kurushwarushwa na kuchukuliwa huku na huku na kila upepo wa fundisho
|
|
|
|
Hii inamlinganisha muumini ambaye hajakomaa na husikia fundisho potofu na boti ambayo inarushwa na upepo katika mwelekeo usio sahihi juu ya maji.
|
|
|
|
# Kwa hila ya watu katika ujanja wa udanganyifu uliopotoka
|
|
|
|
"kwa watu wajanja ambao hupotosha waamini kwa uongo wa kiujanja"
|
|
|
|
# Katika yeye aliye kichwa...mwili wote hukua na kujengeka wenyewe juu
|
|
|
|
Paulo anatumia mwili wa binadamu kuelezea namna gani Kristo husababisha waamini kfanya kazi pamoja katika umoja kama kichwa cha mwili husababisha sehemu za mwili kufanya kazi pamoja ili kukuwa kiafya.
|
|
|
|
# pamoja na kila kiungo
|
|
|
|
"kiungo" ni ukanda madhubuti unao unganisha mifupa katika mwili.
|
|
|
|
# Ili kwamba mwili wote ukue na kujijenga wenyewe juu katika upendo
|
|
|
|
"Hivyo, waamini wanaweza kusaidiana kila mmoja na mwenzake kukua katika upendo"
|