sw_tn/eph/03/17.md

40 lines
1.9 KiB
Markdown

# kauli unganishi
Paulo anaendelea maombi aliyoyaanza
# kwamba Kristo aishi ndani ya mioyo yenu kupitia imani. Ninaomba kwamba muwe na shina na msingi wa upendo wake
Hili ni ombi la pili Paulo anaomba kwamba Mungu "awapatie" Waefeso "kulingana na utajiri wa utukufu wake "; kwanza ni kwamba wangeweza "kuimarishwa"
# mioyo kwa njia ya imani
hapa "moyo" inawakilisha utu wa ndani, na "kupitia" inaonyesha njia ambayo Kristo anaishi ndani ya muumini. Kristo anaishi katika mioyo ya waumini kwa sababu neema ya Mungu inaruhusu wao kuwa na imani.
# imani. Ninaomba kwamba muwe na shina na msingi wa upendo wake. Uwe katika pendo lake ili uweze kuelewa
maana inawezekana ni 1) "Imani. Naomba kwamba utakuwa na mzizi na msingi katika upendo wake ili uweze kuelewa" au 2) "Imani hivyo utakuwa na mzizi na msingi katika upendo wake. Nina omba pia uweze kuelewa "
# kwamba muwe na shina na msingi wa upendo wake
Paulo analinganisha imani yao kwa mti wenye mizizi au nyumba iliyojengwa juu ya msingi imara. "kwamba utakuwa kama mti wenye shina zuri na nyumba yenye msingi wa jiwe."
# Ili uweze kuelewa
Hili ni ombi la pili ambalo Paulo anapiga magoti yake na kuomba: la kwanza ni, Mungu awape kuimarishwa na kwamba Kristo aishi ndani ya mioyo yao kupitia Imani. na "uelewa" ni kitu cha kwanza kabisa Paulo aliomba kwamba Wafilipi wenyewe waweze kufanya.
# waaminio wote
"waaminio ndani ya Kristo" au "watakatifu woote"
# upana, urefu, kimo, na kina cha upendo wa Kristo
Paulo anatumia maneno hayo kuelezea kwa namba gani ambayo Kristo anatupenda.
# ili upate kujua ukuu wa upendo wa Kristo
Hili ni jambo la pili kwamba Paulo anaomba kwamba Waefeso wataweza kufanya; kwanza ni kwamba wao "waelewa." "kwamba uweze kujua ukuu wa upendo wa Kristo"
# ili mpate kujazwa na ukamilifu wote wa Mungu
Hili ni ombi la tatu ambalo Paulo anapiga magoti yake na kuomba: la kwanza ni,mpate "kuimarishwa" na la pili ni kwamba "muweze kuelewa"