sw_tn/eph/03/12.md

24 lines
596 B
Markdown

# kauli unganishi
Paul anamsifu Mungu katika mateso yake na anaomba kwa ajili ya waumini hawa wa Efeso.
# upatikanaji kwa kujiamini
"upatikanaji katika uwepo wa Mungu kwa kujiamini" au "uhuru wa kuingia katika uwepo wa Mungu kwa ujasiri"
# kwa sababu ya imani yetu kwake
"kwa sababu ya imani yetu katika Kristo"
# tuna ujasiri
"sisi bila hofu" au "tuna ujasiri"
# kujiamini
"hakika" au "uhakika"
# Huu ni utukufu wako
Hapa "utukufu wako" kujisikia katika ufalme ujao. Wakristo wa Efeso wanapaswa kujivunia mateso ya Paulo gerezani. "Hii ni kwa manufaa yako" au "unapaswa ujivunie hii"