sw_tn/ecc/07/11.md

12 lines
517 B
Markdown

# wale wanaoliona jua
"wale walio hai"
# faida ya maarifa ni kwamba hekima humpa uhai
Maana zinazowezekana ni 1) mwandishi anatumia maneno "maarifa" na "hekima" kumaanisha kitu kimoja, au 2) "faida ya kujua hekima ni kwamba inakupa uhai."
# humpa uhai kwa yeyote aliye nayo
Inayompa uhai ni hekima. Maarifa na hekima "humpa uhai" kwa njia tofauti. Kuchagua uwekezaji mwema, kuwa na marafiki wazuri, kuchagua hali nzuri ya kuishi kiafya, kuishi kwa amani na wengine ni baadhi ya njia amabvyo hekima "humpa uhai."