sw_tn/ecc/03/21.md

12 lines
438 B
Markdown

# Ni nani ajuaye kama roho ... chini ya nchi?
Mwandishi anadai kuwa wanyama wana roho. "Hakuna ajuaye kama roho ... chini ya nchi."
# hakuna lililo jema kwa yeyote zaidi ya
Mwandishi anasisitiza zoezi la mtu kufurahia kazi yake, sio ufahamu wa kiakili ya jinsi ya mtu kufurahia kazi yake.
# Ni nani awezaye kumleta ... baada yake?
Hakuna yeyote aliyewahi kumfufua mtu au mnyama kutoka wafu. "Hakuna awezaye kumleta ... baada yake."