sw_tn/ecc/03/08.md

8 lines
219 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea na tofauti za maisha.
# Ni faida gani mfanyakazi aipatayo katika kazi yake?
Hili ni swali la kumfanya mtu kufikiri ili kumelekeza msomaji katika mada yamajadiliano yafuatayo.