sw_tn/ecc/03/04.md

8 lines
216 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea na tofauti za maisha.
# kulia na ... kucheka ... kuombolezana ... kucheza
Hizi ni sehemu mbali mbali za maisha kama zinavyoelezwa kutoka tofauti moja kabisa hadi nyingine.