forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
671 B
Markdown
24 lines
671 B
Markdown
# hatari kubwa
|
|
|
|
"janga kubwa"
|
|
|
|
# Kwa maana ni faida gani mtu hupata ambaye hufanya kazi kwa juhudi na kujaribu moyoni mwake kutimiza kazi zake chini ya jua?
|
|
|
|
"Kwa kuwa mtu anayefanya kazi sana na kujaribu moyoni mwake kukamilisha kazi zake chini ya jua hafaidi kitu."
|
|
|
|
# ambaye hufanya kazi kwa juhudi na kujaribu moyoni mwake
|
|
|
|
Misemo hii miwili inamaana moja na inasisitiza jinsi gani mtu anavyofanya kazi kwa nguvu nyingi.
|
|
|
|
# kujaribu moyoni mwake
|
|
|
|
"kujaribu kwa wasiwasi"
|
|
|
|
# maumivu na masikitiko
|
|
|
|
Maneno haya mawili yana maana sawa na yanasisitiza jinsi gani kazi ya mtu ilivyo ngumu.
|
|
|
|
# roho yake haipumziki
|
|
|
|
"akili yake haipumziki" au "anaendelea kuwa na wasiwasi"
|