sw_tn/deu/34/01.md

245 B

mlima wa Nebo

Hii ni sehemu ya juu ya mlima Pisga ambao upo sehemu ya magharibi ya usawa wa mlima wa Abarimu.

Pisga

Hili ni jina la mlima sehemu ya magharibi wa usawa wa mlima wa Abarimu.

mji wa mitende

Hili ni jina lingine la Yeriko