sw_tn/deu/33/28.md

775 B

Israeli waliishi ...Wana wa Yakobo walikuwa salama

Maana zaweza kuwa 1) Musa anazungumzia hapo baadaye kana kwamba ilikuwa zamani kusisitiza ya kwamba alichosema kitakuwa kweli, "Israeli ataishi ... uzao wa Yakobo watakuwa salama" au 2) Musa anambariki Israeli, "Israeli aishi ... na uzao wa Yakobo uweze kuwa salama"

Wana wa Yakobo

Maana zaweza kuwa 1) nyumba ya Yakobo au 2) vizazi vya Yakobo.

mbingu na idondoshe umande

Umande inazungumziwa kama kuwa mwingi sana hadi kuwa kana kwamba ilikuwa ikinyesha. Maana zaweza kuwa 1) Musa anabariki Israeli, "na umande mwingi ufunike nchi kama mvua" au 2) Musa anasema kitakachotokea hapo baadaye, "umande mwingi utafunika nchi kama mvua"

umande

maji ambayo hujiunda juu ya majani na nyasi katika asubuhi za baridi.