sw_tn/deu/33/27.md

863 B

Mungu wa milele ni kimbilio

Nomino inayojitegemea ya "kimbilio" ambayo ina maana ya hifadhi au sehemu salama na hatari, inaweza kuwekwa kama kitenzi. "Mungu wa milele atalinda watu wake"

chini yake kuna mikono ya milele

Maneno "mikono ya milele" ni sitiari kwa ajili ya ahadi za Yahwe kulinda watu wake milele. "atawaimarisha na kuwatunza watu wake milele"

Husukuma ... naye alisema

Musa anazungumzia muda wa baadaye kana kwamba ilikuwa muda wa nyuma kusisitiza ya kwamba kile anachosema kitakuwa kweli. ""Atasukuma nje ... atasema"

mbele yako ... Angamiza

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na amri "angamiza" hapa ni katika umoja.

alisema, “Angamiza!”

Kama nukuu ya moja kwa moja haitafanya vizuri katia lugha yako, unaweza kuiweka kama nukuu isiyo moja kwa moja. "atakuambia kuwangamiza!"