sw_tn/deu/33/26.md

533 B

Yeshurumu

Hili ni jina lingine la watu wa Israeli. Ina maana ya "mwenye haki".

anayeendesha katika mbingu ... juu ya mawingu

Hii ni picha ya Yahwe akiendesha juu ya mawingu katika mbingu kama mfalme juu ya kibandawazi katika kiwanja cha vita. "anaendesha katika mbingu kama mfalme anavyoendesha katika kiwanja cha vita ... juu ya mawingu kama mfalme juu ya kibandawazi chake"

kukusaidia

"kukusaidia". Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.