sw_tn/deu/33/24.md

818 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.

achovye mguu wake ndani ya mafuta ya zeituni

Mafuta ya zeituni yalitumika kwa chakula na kwa ajili ya ngozi ya usoni na mikononi. Miguu ilikuwa michafu, kwa hiyo kuweka miguu katika mafuta ya zeituni ilikuwa kuharibu mafuta ya thamani. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "kuwa na mafuta mengi ya zeituni hadi anaweza kuyapoteza"

Vyuma vya mji wako ... siku zako ... usalama wako

Musa anaendelea kuzungumza na kabila la Asheri kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Vyuma vya mji wako na viwe chuma na shaba

Miji ilikuwa na vyuma vikubwa katika malango yao kuwaweka adui nje. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "Na uwe salama na mashambulizi ya adui zako"