sw_tn/deu/33/10.md

266 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la lawi, ambapo alianza kufanya katika 33:8.

yako ... lako ... yako ... lako

Musa anazungumza na Yahwe, kwa hiyo maneno haya yote ni katika umoja.