sw_tn/deu/33/01.md

668 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaanza kuwabariki makabila ya Israeli. Musa anazungumza baraka kwa njia ya shairi fupi.

Yahwe alikuja kutoka Sinai na akainuka kutoka Seiri juu yao. Alingara kutoka Mlima wa Paramu

Musa analinganisha Yahwe na kuchomoza kwa jua. "Yahwe anapokuja Sinai, aliwatazama kama jua linavyochomoza kutoka Seiri na kung'aa kutoka mlima Parani"

juu yao

"juuya watu wa Israeli"

elfu kumi ya watakatifu

"malaika 10,000"

katika mkono wake wa kuume radi zilimulika

Maana zingine zaweza kuwa 1) "katika mkono wake wa kuume kulikuwa miale ya moto" au 2) "Aliwapa sheria ya moto" au 3) "Alikuja kutoka kusini, chini ya miteremko ya mlima wake"