sw_tn/deu/32/50.md

451 B

Taarifa ya Jumla:

Yahwe anamaliza kuzungumza na Musa.

utakusanywa kwa watu wako

Hii ni njia ya upole ya kusema roho ya Musa itaungana na roho za ndugu zake katika ulimwengu wa wafu. "jiunge na mababu zako ambao walikufa kabla yako"

mlima wa Hori

Hili ni jina la mlima katika mpaka wa Edomu.

Meriba

Hili ni jina la sehemu katika jangwa ambapo Musa hakumtii Mungu.

jangwa la Sini

Hili ni jina la nyika katika mpaka wa kusini wa Yuda.