sw_tn/deu/32/43.md

415 B

Taarifa ya Jumla:

Huu ni mwisho wa wimbo wa Musa.

Furahi, enyi mataifa

Musa anaongea na watu wa mataifa yote kana kwamba walikuwa wakisikiliza.

kwa maana atalipiza kisasi damu ya watumishi wake; atalipiza kisasi juu ya maadui zake

Hapa "damu ya watumishi wake" inawakilisha maisha ya watumishi wake wasio na hatia ambao waliuawa. "kwa maana atalipiza kisasi kwa adui zake, ambao waliwaua watumishi wake"