sw_tn/deu/32/42.md

627 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.

Nitafanya mishale yangu kulewa na damu, na panga langu litameza nyama kwa damu

Yahwe anazungumzia mishale kana kwamba ni watu ambao angewapa kilevi na kuwafanya walewe, na kuhusu panga kana kwamba lilikuwa mtu ambaye alikuwa na njaa sana hadi aweze kula mnyama kabla ya kutoa damu nje. Sitiari hizi ni lugha nyingine kwa askari kutumia mishale na upanga kuwaua maadui wengi. Hii pia ni lugha nyingine ya Yahwe kuwaua adui zake vitani.

kutoka kwa vichwa vya viongozi wa adui

Maana yaweza kuwa "kutoka kwa vichwa vyenye nywele nyingi vya maadui"